
Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Sanura akacheka akasema hapana sikumaanisha hivyo ata. Nikamwambia lakini mm nakupenda sana sanura na sio kukupenda tu. Mimi nakuhitaji kabisa ikiwezekana nikuoe . Nakuhitaji sana sanura. Sanura akasema khaaa huoni aibu kuwa na mwanamke kama mm. Nikamuukiza kwani sanura huwezi kuacha kufanya hii kazi. Kama shida ni pesa mm ntakupa kwa kiwango nnachokiweza ila sitaki ufanye hivi tena..akanmbia mm siamini pesa za mwanaume .wanaume hamuaminiki kabisa .na mimi kwa sas nna majukumu yangu sana. Nikamuuliza majuku gani yanayokuzunguka kwani. Akanmbia ni familly issue siwezi kukwambia. Daaah nikamungalia nikasema powa mimi kesho nataka kuludi home na
0 Comments