ME AND YOU 01-03

ME AND YOU 01-03

ME AND YOU Sehemu ya 1 Sometimes mapenzi yanaweza kukuchanganya mpaka ukajikuta unafanya mambo ambayo hayana maana kabisa. Ndo maana tunashauriwa sana kuacha kufanya maamuzi kwa kufuata moyo na badala yake tutumie akili zetu. Mtajua kwanini ninasema hivi but for now niwasimulie kwanza kisa changu. Jina langu naitwa Aweri Suleiman, mtoto wa pekee wa Bwana na Bi Suleiman. Nimezaliwa na kukulia huko Handeni katika kijiji kimoja hivi kinaitwa Kwamsisi ndani ya mkoa wa Tanga. Katika elimu, nimesoma hadi Form 4! Tena mpaka kufika ilo darasa nilipambana kweli! Nilirudia Form 2 mara mbili, ikabidi sasa walimu wanipeleke hivyo hivyo kidato cha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments