ME AND YOU 04

ME AND YOU 04

ME AND YOU Sehemu ya 4 "Mbona umekataa haraka hivyo?" "Yani niruke mkojo nikanyage mavi? Hapana kwa kweli, bado nayapenda maisha yangu." Stephano akawa ananicheka kweli. "Kumbe wewe ni mwoga namna hiyo?" "Wewe pia ni mwoga! Ungekuwa huogopi usingenificha ficha kama sehemu za siri." "Embu tuwe serious kwanza Aweri! Trust me, kuna usalama wa kutosha, alafu kingine mimi nataka kuwa karibu na wewe zaidi! Nataka usiku pia nipate nafasi ya kuona sura yako! Ninapokumiss nakuona kwa haraka." "Mkeo akijua je?" "Hawezi jua! Nakutambulisha kama mtoto wa rafiki yangu! Hawezi kataa! Kazi yako ni kunipa raha na mapenzi kila ninapokuhitaji, tena

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments