
Uyo mke wake jamani kama kuna vyeti vya uvumilivu kwenye ndoa basi apewe yeye jamani . Mwanamke ni mvumilivu uyu uwiiih anapelekewa nguo na bado anafua daaah sijui alikuwa anang'ng'ania nini pale maana nyumba yenyewe wamepanga ela hapewi na ata akipew ni kidogo mno kalibia mshahara wote nakula mimi yaani sema alipunguza kunitafuta tafuta kabisa , sijui alikuwa anaogopa kipigo yaaani . Ila mimi ndio sikuacha kumfanyia visa ata kidogo yaaan. Ila akawa ananipotezea tukikutana tunapishaba bila salamu hivyo yaani . Kuhusu nyumbani kwa shangazi niliwahi enda shangazi alinifukuza akawa ananiambia si ulikimbua kwangu sikutaki uje ukiwa umejifunza na .
0 Comments