MILELE Sehemu ya 10

MILELE Sehemu ya 10

Mwandishi:lissa mwalla Nilistuka nikamsukuma p, mara naskia kicheko jmn, akasogea kumbe ni zeta na mtumbo wake mkubwa kama pakacha 😂😂,akasema ehee we msichana unafanya nn hapa? Mm nikamtizama nikasema nn huko unatembea usiki kama vampire? Akasema huoni aababu, kumbe ndio mambo unayofanya usiku haya binti sayuni? Nikacheka kwa aibu nikamkumbatia p,nikasema zeta huyu n p, p akanitizama akasema mm n nani? Nikasema p jmn au? Akasema daah acha niende zangu mana sina changu hapa. Nikasema nooo zeta huyu n mpenzi wangu,zeta akasema wacha wee, p akasema muongo huyo mm sio mpnz wake n mme wake,akanikumbatia vizur,zeta akasema nafurahi kukufaham shem

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments