MILELE Sehemu ya 9

MILELE Sehemu ya 9

Vero WA Lissa Mwalla: 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐 Mwandishi:lissa mwalla Nilimtizama alikua mpole mno sura yake,na maneno yake yaliniingia akilini moyo ulifarijika,nikasema lkn hunipendi unanijibu vibaya unanifukuza,akanitizama akanibusu mdomoni kisha akasema noo nakupenda sana,nakupenda tokea siku ya kwanza nakuona lkn najua unasoma na sikutaka kukuharibia maisha,nakupenda sana kiasi kwamba nilikua najiogopa bria,nilijiogopa nisije kukuumiza,nilijiogopa nisije kukupotezea muelekeo wa maisha yako bby,mm nakupenda sana na ndio mana nakusindikiza kila ukichelewa kurudi,hata siku ile nilikuona dukani nikawa nakufata nyuma bby,nakupenda sana.nikamtizama nikasema kwa nn hukuwahi niambia?akasema nilitaka nisikuambie muda mrefu sana hadi umalize chuo labda lkn naona kabisa nitaibiwa na nitaumia sababu mm nakupenda,nikasema lkn

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments