MILELE Sehemu ya 11

MILELE Sehemu ya 11

Mwandishi:lissa mwalla Mmh sikumuelewa kabisa mama jemima,kwani nimemkosea nn hadi anitukane hivi?au ndo kweli nilikua nafanya mapenzi ndani kwake?lkn sikujileta nilikua naletwa mm na ndugu yao,na anavozema nimedandia gari anamanisha nn?anavosema simjui vizur p anamanisha nn?niliwaza huku nimesimama namtizama,akasdema wewe nimekwambia niondokee mm hapa sa unanisimamia nn kama mzimu?nenda kule kutunukia tu hapa ndo kitu unajua,unakuja unatiwa ndani kwangu hata mashuka hufua nakuja fua mm shenzi kabisa ,umeskia guest house hii?we mwanamke mrahisi sana na utaisoma namba ondoka hapa bana ww,niligeuza nikaanza kuondoka huku ninahuzuni sana,sikutegemea mama jemima kunitukana mm hivi,nikajiuliza nikienda nyumbn watauliza kwa nn nimerudi tuition na nilivo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments