
Mwandishi:lissa mwalla Nilitetemeka niliogopa kumwambia mtu mana hata rafiki yangu tinna sikuwahi mwambia kuwa nina boyfriend,niliogopa nikachukua lile box nikatoka nalo nje huku nikiwa na simu yangu,nilienda nalo sehemu ya kuchomea ped nikalitupa kisha nikampigia simu zeta hapo nimechanganyikiwa naongea kama kiredio,zeta akasema sisi ndo tunafika nyumbn dia kuna nn ongea tatatibu nikuelewwe,nikasema zeta unamkumbuka alieleta box lenye karatas jekundu?zeta akasema mmh ni mdada fln sikuwahi muona mm alishika hilo box,akasema lina nn?nikasema kina uchawi zeta,naambiwa nimuache bwana wa watu mm jmn,zeta akasema sikuelewi, nikamwelekeza akasema we atakua nani? Nikasema hata sijui ila nimechukia sana mm p namuacha siwez, akasema
0 Comments