ZARA❤️ Sehemu ya 162&163

ZARA❤️ Sehemu ya 162&163

Whattsap; 255 755090082 Mwandishi; lissa wa huru media Badi nakumbuka siku iyoo saza, pamela.akanipigia simu, akanikumbusha harudi ya rafiki yetu mmoja, tulimzoea sana anaitwa glory inafanyika mtongani, ila ni ya usiku ni send off, so ata mm nilitia mchango na sale nilishona ila ilikuw kwa pamela, so ilibaki kwrnda tu, so iyo siku j mosi ndo akanikumbusha kuwa ile harudi ni leo shigaa, nikasema sawa kwakua jordan uwa j pjli haingii kanisani, basi niramuomba abaki na wanagu tu, basi mda wa saa10 jioni ndo jordan aliludi, akaingia ndani kwake naona alilala, mda wa saa 1 ndo akatoka ndani, apo arusi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments