
Mwandishi:lissa mwalla Nilikosa poz, p wangu jmn, kapendeza yuko na shat lake fln la draft la kukunja mikono na jeans yake na raba, ananiangalia, nilikumbuka Caleb mmmh sasa nafanyaje hapa? Akasema unanichukia kiasi hutaki hata nisalimia make wangu? Nikamtizama nikasema mambo, akasema poa tu, unaonekana una safari mke wangu unaenda wap? Nikaanza kujikanyaga pale nasemaje sasa mm, akasema unaenda wapi mke wangu? Nikasema p tafadhar mm sio mke wako na usiniite hivo mm sitaki shida na mtu. Akanitizama akasema okay sawa, mara simu yangu ikawa inaita kuchek ni caleb, nikawa nashindwa hata kupokea sasa, p akasema kumbe una simu? Mm
0 Comments