MILELE Sehemu ya 4

MILELE Sehemu ya 4

Mwandishi:lissa mwalla Machozi yalinitoka,nikisema eeh MUngu nisaidie we mkaka niache mm,nililia mno Yule mkaka akaja kuniziba mdomo huyu Yule akifungua mkanda wa suruali yake anibake sasa,mara nikaskia kuna nn hapa?walistuka wale wakaka,aliekua anavua surual akasema kwani vipi ww?yule mkaka akasema nauliza kuna nn hapa?nimeona purukushani zisizo za kawaida ebu acheni hizo mwacheni huyo aende,mkaka aliekua anatoa surual akasem unajipenda ww?kwa hio mm kuwa na demu wangu mpaka nipangiwe?yule kaka akasema angekua demu wako ungamkaba na kuita mtu mwingine oyaaa mwachieni,alisogea Yule mkaka aliekua anavua suruali nae alisogea wakaanza kupigana,kijana aliekua ananisaidia alikua na nguvu na hapo hata sioni sura naona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments