ZARA❤️ Sehemu ya 160 na 161

ZARA❤️ Sehemu ya 160 na 161

Mwandishi; lissa wa huru media Yani nikabaki kimyaa, nikawa nawaza iyo shule wanayopelekwa ni kwamba mm ndo nakatwa mshahara wangu au vp ,yani nikashindwa ata kumuuliza, basi jordan akanmbia anahisi njaaa nikamtengee chakura. Mie nikaenda kumtengea chakura mezani, basi nikiwa namtengea chakura akaja na vina, wakakaa kabisaaa, nikamtengea chakura tu jordan, nikamwmabia vina twende ukalale sasa, mh naona vina hatakai ata kuondoka, nikamuangalia uyu mtoto et ni kama ana taka kula, wakati katoka kula mda sio mrefu, khaaaa, nikamwmabia vina ebu twende ukalale bwnaa, vina ananitingishia bega ya kwmba hataki, mi mwenzenu ndo mana nampigaga kwa hasira uyu mtoto,yani ana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments