Mmhhh JERRY UTAICHANA SASA JAMANI SEHEMU YA 17&18

Mmhhh JERRY UTAICHANA SASA JAMANI SEHEMU YA 17&18

Niliona hakuna haja ya kuleta maringo wakati nishajua niko pale kwa sabaabu maalum nilikula huku Nicky akinituzama like huyu mwanamke kakumbwa na ninj Tukiw ajatikati ya mlo siku ya Nicky iliita tena ailikuwa vidio call kutoka kwa zarina Aliipokea na kuanza kuongea nae Inshort Zarina alikua na madhaka sana lijua nambeba kiukweli mme wake Wakiwa wanaongea vidio call mimi nilikuwa bize kutafuna na kumeza tu Walimaliza akuongea wakati nimeshashiba mnooo Hapo ndo Nicky akapakua chakula chakr na kuanz akula slowly Mimi nikaenda kujitupa kitandani Alipomaliza kula alikuja kuniamsha ili tuongee "Tunatakiwa kurudi nyumbani, alisema Nicky "Mam yako ataelewa? "Yeah nitamwambia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments