MILELE Sehemu ya 5

MILELE Sehemu ya 5

Vero WA Lissa Mwalla: 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐 Mwandishi:lissa mwalla Nilimtizama akinifukuza lkn sikuondoka, nikasema hiv kwa nn unanichukia sana? Akanitizama tu akaondoka zake, hapo kigiza tayar, nilianza kurud nyumbn mdogo mdogo huku nikiwaza, mbn huyu kaka yuko hiv? N kwangu tu au?mbn mkali hivi na hataki mazoea?lkn nilitaka tu kujua anaendeleaje jmn, Nilikumbuka macho yake yakinitizama uwii ana macho mazuri, uso wake mzurii mkaka huyu jmn, mmmh unawaza nn bria? Tokea lin mkaka akawa mzuri? Achaa nilijistua. Basi nilitembea akili ikaniambia geuka nyuma, niligeuka nikamuona mtu anakuja, mmh n nani sasa? Nikaanza kukaz mwendo nikageuka tena yy alikua anapita kwenye nwanga ,niliona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments