
Vero WA Lissa Mwalla: 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐 Mwandishi:lissa mwalla Mama alinipiga ,bella nae akaleta mafuta kweli,mama akafungua lile dumu la mafuta ya taa akasema husemi bdo?nikasema mama nasema nasema mama yangu,naomba nisamehe kwa kudanganya mama,akasema hujasema bdo,sema huko,nikasema mama nilinunua tshet kwa ajili ya Yule kaka alienisaidia kipindi kile wakati nimevamiwa na vibaka mama,sikuwahi mpa shukrani nikadhani tshet ndio itakua shukrani tosha,mama akasema nini?unanidanganya ww si ndio?nikasema kweli mama,sidanganyi mama kweli kabisa mama,sikuwahi mshukuru.mama akasema ahaa kama ni hivo kwa nn hukunihusisha mm kusema kuwa unataka mpa huyo kaka tshet?unaiba pesa na kudanganya kwa nn?nikasema niliogopa mama kusema ungenifikiria vibaya,mama akasema vibaya
0 Comments