
Nilirudi kule chumbani kwangu nikajiandaa vzr nikabadili nguo then nikakaa kwnye kioo kujiremba kidogo Baada ya muda nilikuja kuitwa kuitwa na Rispa Rispa alionekana mwenye vibe sana hadi nikashangaa Kuna jini Rispa? "Jamni unaitwa na kaka Jericco ameiuja aaah yaani huwa najiskia poa sana nikimuona huyu mwanaume nampenda kupita kiasi Niliishiwa pozi kabisa vile Rispa alikuwa in deep love na huyo Jerricco nilitamani kuona how he looks alike Nilimaliza kujiandaa tukaongozana na Ruspa hadi huko sebuleni Ambapo Rispa alikuwa akitembeaa jwa madaha mengi sana na mishebeduo kama yote ilimradi yu amtege huyo Jericco ambae hata sijui anafananaje Pale sebuleni hawakuwepo
0 Comments