MILELE Sehemu ya 7

MILELE Sehemu ya 7

Mwandishi:lissa mwalla Nilimtizama nilikwazika,hapendi dizain yangu kwan mm nikoje?, nikaona huyu acha nimtolee uvivu, nikasema kwan ww kaka una matatizo gn na mm? Mbn uko hivo kwangu? Sikuelewi, najitahid sana kuonesha shukran, lkn unaniambia maneno ya kuumiza sana kwa nn? Akanitizama akasema nenda kwenu, nikasema nataka unijibu kwa nn uko hivo? Akanitizama akaniachia huku anaondoka, nilimkimbilia nikaenda mbele yake, nikasema kuna kitu nimekukosea? Au mm nikoje hadi unanifanyia hivo? Najiskia vibaya sana, naumia ww kunifanyia hivo, akasema kinachokuuma nn hasa nambie,nikasema najibu yako,akasema kwa nn majibu yangu yawe tatizo sana kwako haf uumie,unatarajia majibu gn toka kwangu labda?nikasema majibu ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments