
Mwandishi:lissa mwalla Mama akasema kuna nn? Mbn makelele? Mm nikasema nitakupeleka kesho ukabembee jmn kwani lazima umwambie mama? Bella alinitizama akasema utanipeleka? Nikasema ndio. Akasema basi mama hakuna kitu. Mama akasema pumbavu, ebu fungenu milango mkalale sitaki kelele, tukasema sawa. Tuliingia chumban jmn sikuamin kama huyu mjinga hajasema. Mdogo angu mambo yake kama mtoto mdogo sana mtu ana miaka 12 na yuko darasa la sita,alikuja kitandan kwangu akasema usiponipeleka namwambia mama.nilimtizama nikasema nitakupekeka bwana ww,akasema na huko nataja soda,nikasema sawa nipishe bas.akasema ndo mchumba ako yule?nikasema mjinga nn pisha huko.akaenda kitandani kwake,mana chumba chetu kina vitanda viwil na zawad ana
0 Comments