
___________ SEHEMU YA KWANZA "Wee Beatrice, unajipenda kweli?" Nilimuuliza shoga yangu maana yake nilikuwa simuelewi kabisa. "Mmmh! kwa nini umeniuliza hivyo?" badala ya kujibu swali naye akaniuliza swali, ila wabongo 🙌🤐, kwamba hatuwezi kujibu bila kuuliza swali 🤔. "Nakuona unavyowachekea hao wajeda, nakuona kibaya zaidi huna moyo wa chuma, Bea mjeda mzuri ni wa kwenye movie, na kule kwenye simulizi, hawa wa live, kwenye 100 wako wawili, awa sio binadamu wa kawaida, ni kama huko mafunzoni huwa kuna vitu wananyweshwa wanaondolewa ule ubinadamu kamili, wanakuwa viumbe, tena wakutisha, hawana hisia mpaka watake wenyewe, haya mwenzetu bila hofu jata kidogo, naona
0 Comments