
Whattsap; 0755090082 Mwandishi; lissa wa huru media Basi dick alipokata simu, akanmbiaaa eeeh mama wawili utaendaa, nikasema yaaa mi nipo tayari bwanaa, kwani ni wapi, dick akanmbia ni makongoo juu, ni jamaa flani hanaga noma kabisaaa, japo ukimzingua anakuwa mkali ila hanaga shida, anaitwa jordn, ana mkee, ila mkewe kasafiri kwa sasa, ndo amana anatafuta dada wa kazi, but nna uwakika utainjoy sanaa, maa hana shidaaa kabisaaa, nikasema kweli, akanmbia yaaa kesho jioni nakufata nakupeleka ,we beba na wanao hana noma kabisaaaa, na utapata malupu lupu sanaa kama tu utamfanyia kazi vizuri, nikasema wala usijali mi sina shida a kabisaa,
0 Comments