
Mwandishi; lissa wa huru media Basi yule kaka alivyoondoka tu, nikamsogelea alvina, nikamuangalia jicho kali. Basi na yeye alishajua apa mama kakasilika akanyamaza kimyaaa. Akainamisha sula yake. Nikamwmabia ww mtoto mbona mshenzi mshenzi sanaa lakini, alvina asubuh ww si umetaka soda nimekununulia mama, au sijakununulia. Ayaa kwa nn unaombaaa. Kikabki kimyaa, nikamwmbia sasa ole wake aje mtu mwengine, alafu umuombee, nachoma moto uo mdomo wako na hivi vimikono vyako mjinga ww, akabaki kimya kama anaelewa, mnazani ndo anaelewa uyuu utamdundaa, baada ya lisaaa, analudia kile kile, yani sio muelewa kama kaka yake, basi pamela ndo akamtetea, akamnyanyua akasema muache bwana
0 Comments