
______________ SEHEMU YA 11 Kuna namna ametokea kuugusa moyo wangu Nicky "Nicky... nilimuita "Naam vaana.... Aliitikia "What if kama nimekupenda kwa dhati? Nilimuuliza swali la kichokozi pia mapenzi hayajaribiwi jamani nyie acheni tu haya mambo But I am a married man Vaana please if u never mind naomba unisaidie kitu na kikifanikiwa i will pay you alot of money alisema Nicky Nilikaa kumsikiliiza anataka kuniambia nini Please nomba ukubali tuoane but iwe nddoa ya kuigizaty and then tuishi as a friends nakuahidi utapata kila kitu unachokitaka but si vizuri kuumiza moyo wa binadamu mwenzako Nampenda Zarina na siwezi kumpoteza mtoto
0 Comments