
Chapter 8 Sikia ile pale mi maiki ambayo imeunganishwa kila chumba kwahyo ukiwa na shida yoyote unaenda pale unaongea kila mtu anakusikia na kama una shida unasikilizwa Hapo ndo Rispa akanionesha ka spika kadogo ni kweli ni ka spika bwana siyo wachawi Mara tukaskia Rispa vipi vaana yuko sawa?ni sauti ya yule mama the way alivyokuwa ananicare you pipo Yuko sawa mama nikikusimulia utavunja mbavu alisema Rispa Mi mwenyewe nikajiona lijinga kwelikweli wacha niangue kicheko balaa aibu gani hii Tangu nifike pale ndani nilikuwa sijacheka ila nilipojiona mjinga nilivunja mbavu aisee Yan mpaka nikakaa chini kwa kucheka Aisee umejua kuifanya
0 Comments