
Chapter 13 Walinipa zawadi wale wamama kama zote mihela walinimwagia mpaka nikachanganyikiwa. Waliniomba nikae pale kwani anakuja mtu wa mapambo ili anirembe narembwa kwaajili ya nini? nilishangaa Wakasema lazima nifanyiwe pre wedding mana ndoa yenyewe ni kesho į pili my Lord nilijua utani kumbe ni kwlei kesho ndo naolewa Nilikuwa na hofu sana nilijua naenda kuharibu maisha yangu yaan ndoa yangu ya kwanza kabisa inaanza kwa kuigiza Niliumia sanaa Ikin sikuwa na namana yoyote Nilitii walichotqka na punde tu alikuja mtu wamakeup akanisiriba uso pale nikawakaaaa Mara ikaletwa gauni kali balaaa ilikuwa na rangiza shaba na udhurungi yan gauni ilikuwa
0 Comments