
Tuliingia chumbani na kukaa kitandani "Congratulation Vaana firt step is done alisema Nicky Mnikimjibu kwa kutikisa kichwa ishara ya kukubaki maneno yake So ti book anither room? Aliniuliza Na vipi mama yako akijua? Umesema kweki lets saty here until seven days comes to end... na kwakusema hayo aliniomba nikaoge ili niiweze kupumzika lakini nilikataa katakata akaomba awnse akaoge yeye Aliingia bafuni akaoga zake akatoka na towel...... Alawndaa hadi kwenye kabati ambako aplikuwa na nguo zake alizichukua na kurudi bafuni akavaa track ya kulalia na kutoka Alijituoa kitandani bila kusema neno lolote Kwakweli nilikuwa na uchovu sana na kwa wakati ule
0 Comments