ZARA❤️ Sehemu ya 158 na 159

ZARA❤️ Sehemu ya 158 na 159

. Mwandishi; lissa wa huru media Shemeji alivyonambia kuwa uyu sio kaka yake, basi apo ndo akanikata kabisaa, na nguvu akanimalizaaa, nikaonaaa huenda ,kweli najichanganyaa tu, nikaonaa nitulie zangu , nikakaa mpaka mchana, naona sms imeingia katika simu yangu, ukipika mchana na usiku usituhesabie, nawtoa out watoto tukitoka kanisani, mh nikashangaa uyu baba kapata wapi namba yangu, mana nilishajua ni jordan, ila nikahisi uwenda dick ndo kampa, nikamjibu sawa boss, apo nikaona leo wanangu watainjoy mana ndo mamboa wanayoyapenda ayoo , basi mie nikatulia zangu, mchana nilipima na nilikula mwenyewe, nikajilalaia tu, na usiku nikala mwenyewe ,nikakaa tu sebleni kuwasubiri

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments