
Whattsap; 0755090082 Mwandishi; LISSA HURU MEDIA Basi jioni alivyolidi ,akanisalimia ,yani ni mkavu sanaaa, ata melvin hakuwa hivi. Mi nikamjibu, akaniuliza umfata wanao. Niksema hapna mambo yalikuwa mengi nitawafat tu, aknmbia so una amai ww upo uku na wanao wapo kule, kwani shida.nn mm si nimekuruhusu ukae na wanao apaa, nikasma nitawafata kesho boss,.akniangalia jicho kali, kama vile wale watoto ye ndo kawaazaa , na moja kwa moja akaingia ndani kwake, basi mie nikaenda kumtengea chakura kabisaa , na baada ya dakika 30 ,ndo akatoka namuona kavimbaaa ,yani kama melvin akikiasirika , basi akanifata ,akaniuliza we chumbani kwangu ulienda kufata
0 Comments