
_____________ Sehemu ya kwanza Hivi mnajua Mapenzi hustawi popote pale! Tena pale usipotarajia kabisa hapo ndo unajikuta umepata mpenzi yaan watu wapendanao hukutana popote pale na kuanzisha mapenzi, sikutegemea kama ningempata Jerrico kwenye mazingira Yale hahahaha a handsome one, richest ever smartest man mr Lover hahaha nanenepaaaaaa Kubwa kuliko ni katika Hali isiyokuwa ya kawaida nilipokea simu nyingi sana kutoka kwa baba mkubwa wangu ( Adili Mawenya)...... Nilikuwa Darasani ikanibidi kuomba ruhusa kwa lecture na kutoka nje kupokea simu yake shkamoo baba Mkubwa hkuitikia hata salamu yangu alianza kuniamrisha "skia binti fanya haraka kesho uwepo hapa nyumbani kwani Kuna Nini
0 Comments