
Chapter 3 Nyamaza wewe kima, acha kubishana na wakubwa zako sawa inuka ukaolewe alisema bamkubwa akiniinua kwa nguvu kwa kutumia shati langu akalishika kwenye kora na kuniinua kwama mwizi Muda huo mama anafuata kwa nyuma alikia sana na kuwasihi waniachie kwaan anaumia sana kwann wanifanyie vile Mama Vaana unataka na wewe uolewe siyo? Angalia tusije kukuozesha kwa zawadi muuza kuni alishaleta maombi manne ya kukuoa ila tukaheshimu undugu wetu na marehemu mumewako, sasa kama unataka kuolewa sema mapema... Sitaki kuolewa mimi naombeni mumuache binti yanagu mashetani wakubwa nyie Mama alishtukia amepewa kofi moja la mwaka mzima alianvuka huko na mm
0 Comments