MMMH JERRY UTAICHANA SASA JAMANI 😊😋🥰 6-7

MMMH JERRY UTAICHANA SASA JAMANI 😊😋🥰 6-7

SEHEMU YA 6 na Lorence hajui kabisa hii kitu iliniumiza sanaa Niliumia mnooo but sikuwa na cha kufanya maana nimeshakamatika pale "Soon narudi mpenzi nimekumic pia, nilimjibu na kuzima simu niliamua kulala tu kuondoa stress nasubiri kuja kuolewa na Mme wa watu sijui nilikosea wapi mpaka nije kulipwa mabaya namna ile .....ni pesa tu na utajiri ndo vimewachanganya ndugu zangu au ni tamaa na visasi visivyokuwa na maana Nilikosa majibu kabisa Nililala zangu na sikujua ilikuwa ni saa ngapi ambapo niliamshwa na kelele za hapa na pale huko sebuleni Sijui Ninini ila niliamka na kutimua mbio mpaka. chini kutizama Kuna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments