
Whattsap; 0755090082 Mwandishi; lissa wa huru media Nikawa siamini, yani namuona melvin uyu apaaa, ila sasa sijaelewa ni kwamba, kanisahau. Au hanikumbuki, yani sijielewi, nikaanza na kujifinya nihakikishe kweli sioti, nikaona hapana sioti, nikainuka nikamsogelea nikataka kumshika sula, ila akawahi kuzuia mkono wangu, akaniuliza we dada vp una shida gani kwani mbona sikuelewi umechanganikiwa, nikasema no melvin, ni mm zara ,ni mm ina mana hunikumbuki, melvin nilijua ushakufaaa kumbe upo hai plssss, niambie ni ww baba, niambie melvin, uyu kaka nikaona anajitoa kwenye mikono yangu mana ni kama alikuwa ananishangaa, ikabid dick aingilie sasa, akanishika mikono, akanmbia mama wawili imekuajee
0 Comments