
Basi silavina akaondoka zake na kwenda nyumba kwake ila huku nyuma iyan wakati wote alikuwa anataja jina lake, kila wakati alikuwa anasema kuwa anampenda sana , Yule mwanamke wake akawa anashikwa na hasira sana, mwisho akaona isiwe shida akaona ampigie mama yake simu kisha akasema baada ya simu kupokelewa “ samahan mama kwa kukusumbua, hivi hatuwez kumteketeza huyu mwanamke, maana ni kama kijana wako hataki na hawez kumuacha, akasema Yule mwanamke…. “ siwez kuruhusu damu ya kimaskin kuingia kwneye nyumba yangu, siwez kuruhusu huyo bint kuwa mkamwana wangu, kesho uje nyumban kwangu tuzungumze jambo, akasema mama yake na iyan kitu
0 Comments