
Akanywa sana pombe, yaan alikuwa anakunywa kama kachanganyikiuwa vile, mpaka akalewa mno akawa hawez hata kujisogeza…. Huku kwa silavina akawa anamuuliza kwa nini junior alifanya vile… “ naona kama iyan anakusumbua sana, usijal sifanyi hivi kwa sababu yangu, ila nataka aache kukusumbua na kukudhalilisha akijua wewe sasa hivi una mwanaume na anakupa furaha, la usijali kama utapata mwanaume ambae utampenda utamkubali tu maana ninachokitaka pekee ni furaha yako mamaaa, maana mimi ni rafiki yako na rafiki bora ni Yule ambae anahakikisha rafiki yake kila siku anafuraha, silavina akatabasamu kisha akasema “ asante sana junior… Sasa wakati ambao walikuwa wanazungumza na
0 Comments