MOYO UKIPENDA 17

MOYO UKIPENDA 17

“ sasa kulikuwa kuna haja gani ya kusema maswala ya mechi? Akauliza… ‘ anatakiwa ajue kuwa nipo na wewe na sio kuwa na wewe tu bali na mechi imechezwa ilia ache kjupiga piga simu hovyo, akasea iyan kisha akamsogelea silavina na kusema ‘ wewe si wangu ee…. ‘ ndio iyan mm ni wako pekee yako, akajibu silavina kwa sauti ya unyenyekevu sana…. “ nakupenda sana mamaa, nakupenda mno, akasema iyan na silavina akatabasamu kisha akasema “ na mimi nakupenda zaidi iyan wangu, maana wewe ndio mwanaume pekee ambae upo kwenye moyo na akili yangu kwa kipindi chote ambacho tukon pamoja

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments