
Mara silavina akaanguka chini na kuanza kugaa gaa, mara damu zikaanza kutoka puani, akaanza kuweweseka, mara aanze kutapika damu, iyan akawa kama kachanganyikiwa, hakujua anapaswa kufanya nini ndio mwisho wazo la kumpeleka hospital, basi akamkimbiza hospital na akaanzishiwa matibabu ambayo ilisemekana kuwa alikuwa amewekewa sumu… Basi matibabu yakaanza haraka na iyan akaanza kumtafuta aliefanya vile, akasema kwanza aanze kwenda kwao, sasa wakati anaingia si ndio akamuona Yule mwanaume anapita kwenye mlango wa nyuma, na alipomuona ndio akakumbuka hata Yule wa kwenye video ambae alimtenganisha yeye na silavina kwa kuonekana kuwa kalala nae ndio Yule Yule, akajua ni lazima mama yake
0 Comments