MR PERFECT SEHEMU YA : 19

MR PERFECT SEHEMU YA : 19

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Nikamuuliza yule mlinzi kwa hasira “Kwanini siruhusiwi kutoka?”😡 “Ni agizo kutoka kwa Madam Margarita” “mimi sio mfungwa” nilifoka🗣️ “Samahani dada… mimi nafata agizo la Boss wangu” Weeeh Nilileta vurugu pale getini mpaka nikahisi presha inapanda, lakini yule mlinzi alikuwa mgumu kama mawe ya reli. Mwisho nikasema “Sawa! Ngoja nimpigie Robert” Nikatoa simu Nikampigia Robert haraka. Alipo pokea nikamwelezea kila kitu kwa papara. “Wamempeleka Dalton hospitali ya vichaa!” “WHAT?? Mimi sijui chochote Eve!” Robert akajifanya kushtuka wakati yeye ndo nyoka🐍 “Please njoo unisaidie!” “Nakuja sasa hivi! Tutamtoa Dalton huko! Calm down” akakata simu Maneno yake yalinifanya nitulie kidogo. Nikaanza kusubiri…….Nilisubiri…Nikangoja…Nikangoja

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments