MUNIRA sehemu ya 34

MUNIRA sehemu ya 34

Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Nikaja kuamshwa usiku saa 10 na bibi nikapelekwa tena katika kile chumba nikafanyiwa vile vile nyie acheni tu unaweza kuzani uchawi ila aya mambo yapo kuna watu wana mila jamani mh ndo awa sasa ukoo wa kina tajeed ,ukiwaona walivyo mashalobalo huamini kama wana mila hzi khaaaa Basi nilikaa pale siku 3 nafanyiwa hivyo apo mm na tajeed hatuongei kabisa tena kaninunia kweli kweli naona alichukia kutaka kutoa mimba yake, basi siku ya tatu mm ndo nikawa sawa kabisa yani kama kawaida sisikii maumivu ata ya kidole yule bibi akasema sasa apo upo sawaaaa, ila

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments