MY BOSS Sehemu ya 2

MY BOSS Sehemu ya 2

Mwandishi:lissa mwalla Niliskia yote aliosema, yn ina mana luis alikuja zenji sababu kampa mimba mwanafunzi?alikimbia huko? Na fetty kumbe anatembea na luis?sikuamini lkn ndio ivo. Nilimfata Abdul(shem) nikamnyang'anya simu nikaanza ongea na Luis nikasema luis naomba unifate tuondoke mi sijakutaja bby, luis akasema naskia una mimba wewe nikasema ndio. Akasema ya nani?,nikasema swali gani hilo luis akati unajua mimi nina ww tu? Akasema skia wewe Malaya unikome katafute baba wa huyo mwanaharam wako wako sawa? Unikome mshenzi mkubwa ww unataka nifungwe mm?. Akakata simu nikasema Abdul ww n wa kunifanyia hivo mm? Akasema skia wa dem si ulishanitosa mm ukahadaika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments