
Mwandishi:lissa mwalla Niliwaza nikajikuta nayaacha kama yalivo cha msingi amenipokea vizuri. Nililala zangu siku hio DA gwantwa hakurudi mpka asubuhi mida ya SAA mbili akanikuta napika chai nishamaliza kazi zote za ndani. Nikamsalimia na nikamwaia pole na kazi dada, akasema. Asante mdogo angu kweli leo nahitaji io pole. Akanipa pesa elf 50 akasema kanunue vitu tunayohitaji ndani kama chakula na nini usisahau mkaa bajeti io pesa mdogo angu itoshe. Nikasema sawa. Nikamkaribisha chai akasema ameshiba akaingia ktk godoro mana kitanda hakuna akalala zake. Mie kama Kawa nilifanya nilichotumwa nilitoka nyumbani hadi kwa mama pipi nilimuuliza mama pipi soko lilipo akanielekeza
0 Comments