NAIMA ( MTOTO WA USWAZI) Sehemu ya 12 & 13

NAIMA ( MTOTO WA USWAZI)  Sehemu ya 12 & 13

Tukabaki tunacheka na shoga angu hadija na kweli bwana mama ibra ni alienda kupigwa uko .maana baada ya mda Robert alinipigia na mimi nikapokea simu . Nikawa nasikia makelele mke wake analia mno na watoto wake nikawa nawasikia wanasema baba muache mama jamani usimpige ni wanalia. Hatari . Nikasema baby kuna nini mbona makelele . Aksema nipo na uyu mshenzi apa nataka uongee naye akuombe msamaha sasa hivi . Nikasema sawa baby mpe ,kwani nilikuwa najari sasa yeye si alinipigia simu kunitambia 🤣. Nikasikia Robert anasema aya shika simu hii omba samahani sasa hivi kabda sijakuuwa mama ibra , sijui

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments