
Basi nikasema sawa nakuja ila uwe na heshima mie ni mke wa mtu, mufti akasema usijali mie najua dini siwez kukudhuru kwa chochote, basi shoga yenu nikaingia bafuni, nikaogaa vizur, nilipomalizaaa, nikajipaka make yangu ya simpleee ila niliwaka mnooo, kisha nikavaaa bai bui langi la bei mnooo, nikafunga na ushungi wangu, nikapendeza kweli kweli,nikavuta na kiatu kirefu, kisha nikachukua pochi yang,niikajipulizia manukato yangu mazuri ya bei kweli kweli, nikawa nanunikia mnoooo, yani ile kunukia kitajirrr, yani nilitaka uyoo mufti akiniona aseme kabisaaa apa nimepoteza, basi nikavuta na pesa kama laki 5 , tena iyo pesa ni jana tu mume wangu
0 Comments