
Nikasema shangazi bwana nyie lalaleni wala msinisubiri nipo kwa hadija uku . Shangazi akasema daaah ila naima we kiboko si ungeaga jamani . Nikasema shangazi yangu mzur yameisha basi nilikuja apo ila wote mlikuwa hampo . Aksema kwani simu huna ww naima kwanza siamini kama upo kwa hadija . Nikaona nae shangazi ananiletea usiku nikasema shangazi kesho kisha nikakata simu yang . Nikarudi kitandani nikamlalia baby kifuani tukalala uzuri hii siku alikuwa off usiku kwaiyo tukalala mpaka asubuhi na asubuhi tulipoamka tuakaoga. Robert akaagiza suop tukawa tunakunywa pale ,akasema daaah nimeenjoy mno leo usiku natamani nikuowe mke wa pili tuwe
0 Comments