NAIMA ( MTOTO WA USWAZI) Sehemu ya 7 na 8

NAIMA ( MTOTO WA USWAZI)  Sehemu ya 7 na 8

Nikasema amna ilitokea tu bahati mbaya . Aksema kuwa makini aisee usipige pige watu ovyo na ulivyo mzuri utapotelea gerezani ukawe nyama ya wafugwa. Nikasema akuuu bora sero niwe nyama yako . Yule police akaniangalia akasemaa aaah sema kweli . Nikasema ndio kama vipi ingia tumalizane umu ndani au we hutaki . Nyie apo ninaongea nimelegeza sauti mpaka mwisho yaaani. Yaani mimi ni kahaba 🤣🤣🙌🙌 nimebaki tu kuingia barabarani kujiuza . Yule police niliona anaangalia angalia mazingira akaingia mule sero . Oya niliipania hii shoo kwanza nilitaka nitoke umu ndani kwaiyo nikataka nimleweshe uyu baba maana alikuwa mtu mzima anaweza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments