NYOTA YANGU SEASON 2 FINAL SEHEMU 35.

NYOTA YANGU SEASON 2 FINAL  SEHEMU 35.

ENDELEA .... Dada wa kazi alianza kuludi nyuma nyuma kujihami maana alishaingiwa na woga baada ya kumuona mwanamiss amempigiza Samira ukutani. Aliludi nyuma nyuma kama hatua tano hivi na mwanamiss alianza kumfuata Kwa Kasi. Dada wa kazi alianza kukimbia, mwanamiss nae hakunuacha alianza kumkimbiza. Dada wakazi alimkimbilia sebleni alitukuta tumekaa. Mimi, wakwe zangu na wifi Najma, muda huo Samira alikuwa hajaludi ila ndo ilikuwa mida yake. Alifika sebleni Kwa speed mpaka tulishtuka na kusimama wima. "Una nini wewe mbona unatushtua?". Wifi Najma alimfokea. "Samira jamani ,Samira". Aliyasema hayo huku ananyoosha kidole juu gorofani muda mchache mwanamiss alifika nae sebleni. Dada

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments