SAUTI YA KIMYA 01

SAUTI YA KIMYA 01

SAUTI YA KIMYA SEHEMU YA 01 Mwandishi: Chief na mambo yake Baridi ya asubuhi ya jiji la Arusha ilikuwa ikipenya hadi mifupani. Katika kitongoji kimoja duni pembezoni mwa mji, moshi mwembamba ulikuwa ukifuka kutoka kwenye jikoni ya udongo ya familia ya Mzee Shirima. Mzee Shirima, mwanamume aliyekuzwa na shida lakini mwenye msimamo thabiti, alikuwa amekaa juu ya kigoda akijipasha moto wa mkaa, huku kikohozi kikavu kikimsumbua mara kwa mara. Maisha ya kibarua wa mashambani na kubeba mizigo sokoni yalianza kumchosha mwili wake. Mke wake, Mama Allan, alikuwa akichochea kuni chini ya sufuria ya uji wa ulezi. Karibu na jiko, watoto

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments