NAKUPENDA ZAINAB❤️ 11 to 13

Sehemu ;11 na 12 Mwandishi;lissa wa huru media Ila nikakaza mtoto wa kiume kwa ule msura hanishawishi kwa kweli ,basi mida mida nikamcheki pamela tena hii siku wala hakuwa mkali tukachart vizuri tu hadi rahaa. Basi sikutaka kuchelewesha maambo maana kanizungusha mda mrefu mpkaa leo nimesota teyari ,alafu nianze. Kumvutia pumzi tena ,nikaunga nae siku iyo iyo ,nikamwambia pamela unajua wewe ni mzuri sana ,akasema kweli ,nikasema kweli yaani nimetafuta namba yako mda mrefu mpka nimeipata na wewe tena ukanizingua daah ,akasema ulikuwa unatafuta ya nini hasa ,nikasema nakupenda ndio maana nimekuelewa sana kwa kweli naomba basi uwe wangu mtoto

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments