
WhatsApp;0742443214 Mwandishi;lissa wa huru media Basi amos alikuwa ndio anatoka alinambia anaenda kuweka movie library, kwaiyo nikaunga nae uko uko ,tumefika kule wakati wanamuwekea movie, akanambia oy ino pamela yule pale nilikupaga namba yake unakumbuka ,dooob si ndio nikaangalia nje ,daaah ilikuwa ni pis pis yaaan kabalikiwa kila kitu shep, sura ,mwendo ,adi usafi ,sio kama yule zainab wangu ,alikuwa amesimama sijui anamsubir nani ,nikasema weeeh amos yule ndio pamela ,akasema ndio yule mwanangu sijui ulifel wapi, mimi nimewahi jaribu akanikataa nikaona nikupe wew ujaribu ,nikasema demu mkali ebu utanipa tena namba yake nijaribu daaah . Aseee Mwanaume nilichanganyikiwa demu
0 Comments