Naomba nisaidie maana nahisi kuchanganyikiwa, niko kwenye mahusaino miaka 7, ni mchumba kabisa na mipango ni mwezi wa 7 kufunga ndoa. Lakini nilikua nachepuka ile kikawaida tu sikua na watu siriasi.

Naomba nisaidie maana nahisi kuchanganyikiwa, niko kwenye mahusaino miaka 7, ni mchumba kabisa na mipango ni mwezi wa 7 kufunga ndoa. Lakini nilikua nachepuka ile kikawaida tu sikua na watu siriasi.

Kuna wanawake wawili, wote ni wanafunzi wa chuo, mmoja nilimuambia abebe mimba yangu, si kama nilikua nampango wa kumuoa lakini nilijua kuwa kama akiwa na mimba hata akijua kuwa nina mchumba au mke basi hawezi kuniacha. Wapili naye ni rafiki yake wote wanasoma chuo kimoja na wanaishi chumba kimoja. Huyu alinitongoza mwenyewe na kwakua ana vihela hela ilikubali sikujua atakuja kubeba mimba yangu. Alipoona rafiki yake ana mimba naye akabeba, sasa nimepigiwa simu kuwa huyu ambaye kwao wana pesa kaenda nyumbani kwetu, anataka kuacha chuo kabisa analazimisha nimuoe, kafika kakuta maandalizi ya harusi yangu. Kaamua kumpigia simu rafiki yake kumuambia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments