NERIA Sehemu ya 21

NERIA Sehemu ya 21

Mwandishi;lissa mwalla Nilijiukiza ni yeye au nimeona mzimu? Huyu asienitaka na alirudisha nguo zangu kaja kwangu? Sikutaka mfungulia nikauliza umefata nini? Akasema kwani unashidwa nikaribisha ndani neria? Nikasema here na jina langu unanilikumbuka kumbe? Akasema nikaribishe ndani ndio ujue nini nataka, nikasema baba huna ulichosahau kwangu naomba uende siwezi kukukaribisha mimi ndani. Akasema neria unajua kabisa ni nini nimefata hapa kwako nashangaa unanikatalia kuingia na wakati nina vyangu humu ndani. Nikasema naomba uondoke kaka au nikuite shemeji naomba ondoka sitaki ugomvi na mtu. Sasa wakati naongea nae mlangoni mwanangu mmoja akalia sana nikageuka nikaona kibinti kinachotembea kinampiga mwenzie kale ka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments