
Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi;LISSA Story yangu inaanzia mbali kidogo, kipindi ambacho nilikuwa ni binti mdogo sanaaa, nakumbuka nilikuwa ni binti wa miaka 9, yani mm naserian nikiwa na umri wa miaka 9, jamani mm naitwa naserian isitonti likisonko, mimi ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia ya watoto wawili, yani nikiwa namaanisha kuwa mm ni binti wa mwisho kuzaliwa nyumbani kwetu, mimi ni binti mwenye asiri ya kimasai ile pure kabisaaa, nimezaliwa na kukulia uko umaisaini ,mkoani arusha. Katika wilaya ya monduli, katika vijiji vya ndani ndani sanaa, kijiji ambacho hakikuwa na miundombinu yoyote na wala huduma muhimu
0 Comments